Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,006 Reaction score 13,281 Aug 28, 2019 #161 Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 28, 2019 #162 Deo Corleone said: Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya? Click to expand... Majibu ya haya maswali anayo Mwinyi Zahera! Pale Yanga, yeye ana mamlaka na maamuzi kuliko hata mwenyekiti wa timu.
Deo Corleone said: Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya? Click to expand... Majibu ya haya maswali anayo Mwinyi Zahera! Pale Yanga, yeye ana mamlaka na maamuzi kuliko hata mwenyekiti wa timu.