Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Yanga huyu jamaa Bonge bonge anayecheza forward mliwahi kumuona wapi kabla ya kumsinya?

Majibu ya haya maswali anayo Mwinyi Zahera! Pale Yanga, yeye ana mamlaka na maamuzi kuliko hata mwenyekiti wa timu.
 
Back
Top Bottom