Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Makambo aikimbia Yanga ajiunga Horoya ya Guinea

Mkuu mbona unajichanganya unasema hakua na mkataba Mara unasema tena mkataba wake unamruhusu kuondoka sasa tukueleweje?
Mchezaji anaruhusiwaje kucheza ligi huku akiwa hana mkataba/ makubaliano maalumu na klabu?
Hahahaha, OK mkataba wake wa maelewano ,Yanga hawakumpa hela ya usajiri yy alikua analipwa mshahara/posho ,ni km Zahera tu ,na wako chini ya MTU na sio Yanga

Hapo Yanga ni Mchezaji aamue tu kuwapoza
 
Ni ishara ya kushindwa kunijibu swali langu toka mwanzo kwahiyo endeleeni kupigwa changa la macho na huyo zahera na mko karibu kukatana mapanga.
Swali la mwanzo ni hela za Okwi kuwekwa kwenye account ya kiongozi wa Simba na wote ukiwemo wewe mmetoa macho tu,leo unashupalia mauzo ya Makambo kivipi?
 
Amekimbia wapi acheni wivu,waongezeeni mikataba wakina BOCCO na KAGERE
 
horoya imefika nusu fainali ya champions league mwaka 2018.. na imefika robo fainali champions league mwaka 2019.... ni timu nzuri ataonekana makambo kama samata kama akicheza vizuri
 
Back
Top Bottom