Makambo kupigwa bench huko alikotokea ni halali

Makambo kupigwa bench huko alikotokea ni halali

Alikotoka alifunga goli 2 msimu mzima.

Kwani Makambo na Nchimbi Kuna tofauti gani. Kumbwela mbwela uwanjani tu. Yanga tumepigwaaa!!
Makambo ana ana goli moja kwa michezo mitano. Vipi Nchimbi ana magoli mangapi tokea asajiliwe Yanga?
 
Makambo ana ana goli moja kwa michezo mitano. Vipi Nchimbi ana magoli mangapi tokea asajiliwe Yanga?
Eleza tofauti yao kwa maana ya wote ni washambuliaji wanaotegemewa na timu.

Kihesabu wote ni watu waliofeli.
 
Eleza tofauti yao kwa maana ya wote ni washambuliaji wanaotegemewa na timu.

Kihesabu wote ni watu waliofeli.
Unaanza kupima kwanzia wakati gani? Maana kama Makambo ndio kwanza tupo msimu wa kwanza na ligi ndio kwanza mechi mbili zimechezwa.
 
Okwi na Kagere nao waliitwa wazee. Ila show waliyoionyesha sio ya nchi hii.
Onyango ni babu ila muziki wake...
 
Back
Top Bottom