Makambo ni bonge la mchezaji!!

Makambo ni bonge la mchezaji!!

Arabi Nanjewa

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
325
Reaction score
410
Ni ukweli usiopingika huyu jamaa (makambo) ni mchezaji mzuri sana, naiona yanga bora iliyosajili kwa akili kubwa sana hasa kuongezeka kwa makambo, feisali, ngassa, kaseke na kindoki, hakika hawa jamaa wanaonyesha kiwango bora sana kunako dimba, muda utakua shahidi ila makambo namuona aking'ara sana msimu huu. Hakika timu pinzan na yanga zijiandae kisaikolojia
 
First seat na popcorn zangu
20180817_150957.jpg
 
Sasa siyo kupiga porojo tuu kizuri kimeundwa, sasa ni wakati wa mashabiki na wanachama wote wa yanga kuichangia klabu, tupo zaidi ya milioni25, kila wiki tukichangia klabu buku buku tuu klabu yetu itafika mbali sana!
 
Back
Top Bottom