Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
Ni ukweli usiopingika huyu jamaa (makambo) ni mchezaji mzuri sana, naiona yanga bora iliyosajili kwa akili kubwa sana hasa kuongezeka kwa makambo, feisali, ngassa, kaseke na kindoki, hakika hawa jamaa wanaonyesha kiwango bora sana kunako dimba, muda utakua shahidi ila makambo namuona aking'ara sana msimu huu. Hakika timu pinzan na yanga zijiandae kisaikolojia