Arabi Nanjewa
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 325
- 410
I love you madame B!! Tafuna mama mwaka huu Simba na Haji wao watapata taabu san!!First seat na popcorn zangu
View attachment 845189
Sasa kilichokufanya usome usichokifuatilia nini? Si ungeachana nacho au ungejishuhurisha hata kutafuta zaid lkn si kwa upumbavu uliouonyesha kwa comment yakoMakambo ndo nani? Elezea si kila mtu anafuatilia mambo ya Yanga
Mikia mtaelewa tuni kwamba jukwaa la michezo limefutwa au?
Hivi huwa kwa nini wapenzi wa Yanga huwa wakali?Sasa kilichokufanya usome usichokifuatilia nini? Si ungeachana nacho au ungejishuhurisha hata kutafuta zaid lkn si kwa upumbavu uliouonyesha kwa comment yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwasababu mashabiki wa Simba ni wanafiki na mbumbumbuHivi huwa kwa nini wapenzi wa Yanga huwa wakali?
Mashabiki wa mpira kwa kushushua hawajamboSasa kilichokufanya usome usichokifuatilia nini? Si ungeachana nacho au ungejishuhurisha hata kutafuta zaid lkn si kwa upumbavu uliouonyesha kwa comment yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza jazba halafu ujifunze kuandika.Sasa kilichokufanya usome usichokifuatilia nini? Si ungeachana nacho au ungejishuhurisha hata kutafuta zaid lkn si kwa upumbavu uliouonyesha kwa comment yako
Sent using Jamii Forums mobile app