Makambo ni bonge la mchezaji!!

Confirmed......Mwenyekiti atanunua hisa 49% kwa 30 billionsTSH .... Yanga itakuwa na thamani sawa na Zamalek au Mamelod Sundowns...#yajayoyanatisha
 
Kwan anaipeleka wapi?. Pumbavu kabisa wewe kwahiyo ulitaka Pappy peke ake aipeleke wapi Yanga?.
Unajua Pappy amesajiliwa lini na toka amesajiliwa Yanga imefanya nini? Kama hamjui kitu kaeni kimya mjifunze

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndo mnamwita Pappy mzee wa kikuku!

Hivi unajua maana ya mwanaume kuvaa kikuku?
 
Ntakuja kuchangia tena huu uzi baada ya mechi 15 za ligi kuwa zimechezwa hapo ndio tutaona tofauti kuuubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…