Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan anaipeleka wapi?. Pumbavu kabisa wewe kwahiyo ulitaka Pappy peke ake aipeleke wapi Yanga?.
Unajua Pappy amesajiliwa lini na toka amesajiliwa Yanga imefanya nini? Kama hamjui kitu kaeni kimya mjifunze
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Huyu ni Mzanzibari ambaye mitaani kwao hujulikana zaidi kwa jina la Mudi Gold. Amefananishwa na Banka unayemsema kwa sababu wote ni viungo mahiri ambao jina lao la kwanza ni Mohamed.Ana uhusiano na yule Banka Mzee wa Misumari aliekuwa Mikia Bi Hindu SC?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok vizuri,ila asiige tabia za kupiga Misumari wenzakeHapana. Huyu ni Mzanzibari ambaye mitaani kwao hujulikana zaidi kwa jina la Mudi Gold. Amefananishwa na Banka unayemsema kwa sababu wote ni viungo mahiri ambao jina lao la kwanza ni Mohamed.
Ahh sawa na Haji Manara nini ingawa yeye avai kikukuNdo mnamwita Pappy mzee wa kikuku!
Hivi unajua maana ya mwanaume kuvaa kikuku?
Ila kwa sasa yuko nje ya mashindano kwa sababu amefungiwa na CECAFA baada ya kinainika kutumia dawa za kuongeza nguvu kwenye mashindano ya Challenge ya mwaka jana. Wanaomjua wanasema ni mwakaji (mvutaji bangi) mzuri.
Kweli kama walivyopata tabu Rayon janakiukwel makambo ni mchezaj mzuri sana.kwa beki hz za akina wawa watapata tabu sana.