Makambo OUT, Yacouba IN. Viongozi Yanga wafungua pochi, Feisal arudi, aibu iliyoje kwa washabiki waliokuwa wakiimba hawamtaki

Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.

Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Aibu yenu
 
Huko Yanga wenye akili timamu ni wawili tu waliobakia wote ni hamnazo
 
Huko Yanga wenye akili timamu ni wawili tu waliobakia wote ni hamnazo
Kabisa,

Siku mbili viongozi wao wanakesha kuomba huruma tena wakitumia watu mpaka viongozi wastaafu wa serikali alafu wanajitokeza wala mihogo wachache wanaimba hatumtaki hatumtaki,aende aende [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aibu yao
 
Yan mmeumbuka vibaya sana. Aibu imewajaa baada ya kulishabikia hili swala kwa nguvu mkiamini tumeumia lakini wapi.

Hapo ndio muone faida ya kushabikia timu kubwa zenye ushawishi. Asee mmeumbuka vibaya sana
Wameumbukaje?

Wale waliosema No Feisal no problem unawahesabu vipj?
 
Hivi hii saga ya Feitoto inawapa ahueni kwenye mbio za ubingwa wa Nbc??
 
Aibu ndio ilikufanya ureply utopolo huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkiambiwa hamna akili mnakasirika....toa kwanza huo mwiko nyuma akili itakurudia tuView attachment 2459892
Kwahiyo Yanga imeifunga Azzam Feisal akiwepo kwenye timu?

Rage alipowaita mbumbumbu hakukosea, wahini kwenye timu menu bovu mkampokee Kichuya ndio Manzoki mliyeahidiwa.

Muwe makini na biashara za online kwa Ali Baba, unaoda Pep guardiola unaletewa Mgunda, unaoda Manzoki unaletewa Kichuya.😂😂😂😂
 
Sisi raha yetu ni kuona utopolo hawana raha tu....kuhusu mbio za ubingwa sisi tunakimbiza kimyakimya,.......
Ambae hana raha utakuwa wewe maana si Kwa kupost hizi habari kila wakati.. unajaribu kutafuta relief
 
Kwani Manara alivyosema kwamba watu wa utopolo hamna akili timamu alikosea?
Lucy Emairy alipowaita ni mbwa mnabweka kama nyani hamjui lolote kuhusu soccer alikosea?????
Kwani kichuya ni mchezaji mbaya???hivi yacouba kiwango kishapanda?
Aliyewaeka mwiko ndio wakumlaumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ambae hana raha utakuwa wewe maana si Kwa kupost hizi habari kila wakati.. unajaribu kutafuta relief
Raha mnaipataje huku mkiwa hamjielewiiii

Nyie mnasema aende aende tu,hatumtaki msaliti,at the same time utopolo wenzenu wanampigia magoti kijana arudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuu.....
 
Wewe binafsi unataka aende au abaki?
 
Ushabiki wa bongo mithili ya taarabu. Yaani huyu naye ni great thinker!! Wengine heri mtambulike kama great sinkers tu
 
Wewe binafsi unataka aende au abaki?
Yeye anachotaka ni pesa suala la kubaki au kuondoka ni lake binafsi,kama katimiziwa anachohitaji hapohapo abaki tu,ila kama ni mbambamba zinaendelea anyooshe goti....

Mimi ni mmoja wa waumini wa wanaochukia uwepo wa foreigners katika ligi yetu ambao wana viwango duni ,au vinavyoshabihiana na homegrown players ila kutokana na ulimbukeni wa timu zetu unawajali zaidi wageni kwa kuwapa pesa ndefu wakati hawana lolote,wanachukua mapesa yetu wanaenda kujenga makwao...

Kwanini usimlipe Manula pesa ndefu huyu atajenga hotel Morogoro,
Lakini ukimpa Okwa ataenda kujenga Nigeria,

Hivyohvyo kwa fei, na wengineo

Unampa Dick Job 1.8m wakati makambo yupo bench unampa 10m sababu ni mgeni haaaaaaaaaaaa
 
Ushabiki wa bongo mithili ya taarabu. Yaani huyu naye ni great thinker!! Wengine heri mtambulike kama great sinkers tu
Sasa kuna shabiki wa utopolo ni GT?
Wakati ilishawekwa wazi kuwa wote hamnazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu pekee mwenye akili huko ni Rage tu aliyepigwa tukio episode ya Mbuyu Twite
Sasa hili jopo lililopigwa tukio na Super Ben tunawaitaje?????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

UTOPOLO HAMNAZO
 
Sasa kuna shabiki wa utopolo ni GT?
Wakati ilishawekwa wazi kuwa wote hamnazo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnaofanya vikao vya kitchen party (in Rage's voice). Yaani hii ina maana makolo wote mna akili za kike tu, ndio hii mipasho tunayoiona sasa hivi. Mlianza na taarabu za Feitoto hatochezea Yanga tena, sasa imegeuka tena kuwa baada ya Yanga kumbakisha HAWANA AKILI. Kweli mikia ni wajuzi wa KITCHEN PARTY tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…