utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Kwaio wewe unaumia Morison kula izo mil 24 za Yanga?? Yaani wew ni shabiki wa Simba unaeumizwa na mambo ya Yanga kiasi hiki??Sasa mlimnunua? Au? Amewageuza kama mwembe wa uwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo ndio sababu ya fei kuwahenyesha kama hujui,maana jitu msimu mzima lina goli 2 na assist 1 then linalipwa 23mil alafu mtoto wa watu mumbebeshe mahirizi na kujituma kote anapata mshahara kama rambirambi,ufala huo hata mimi ningewahenyesha
Hivi wewe ni taahira au hayawani??? Ndugu rage apewe heshima yake popote alipo