Makambo OUT, Yacouba IN. Viongozi Yanga wafungua pochi, Feisal arudi, aibu iliyoje kwa washabiki waliokuwa wakiimba hawamtaki

Kwaio wewe unaumia Morison kula izo mil 24 za Yanga?? Yaani wew ni shabiki wa Simba unaeumizwa na mambo ya Yanga kiasi hiki??
Hivi wewe ni taahira au hayawani??? Ndugu rage apewe heshima yake popote alipo
 
Ukiwaona utopolo wakizungumzia habari za usafiri wa simba utasema wana hata kauwanjanka kufanyia mazoezi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha maneno mingi wewe! Tuwekee hapa mshahara wa Kibu Dennis dhidi ya ule wa Nelson Okwa! Mnamsema dogo hafungi magoli, na wakati hamjui hata mapito anayopitia hamyajui!

Hebu fikiria Nelson Okwa hata benchi tu hawekwi, ila mwisho wa mwezi anavuta mpunga wa maana! Na hapo sijamtaja Victor Akpan!! Hakika nyinyi ni mabingwa wa kufuatilia maisha ya majirani zenu, na wakati huko kwenu ni tia maji tia maji!

Mpaka leo nikikuuliza kama Juma Mgunda ana mkataba na simba, huwezi kujibu! Maana mwisho tutaambiwa alikuwa ni deiwaka tu kama yule kocha wenu wa magolikipa. Yaani timu inaendeshwa kijanja kijanja tu na Mhindi!
 
Bado mechi ngapi ligi iishe?hata epl Arsenal yupo juu kwa point 8 sasa kaa kwa kutulia hapo hesabu tofauti ni point 3 maana point 3 mmetushikia tunakuja kuzichukua wenyewe.
Kwa huu mwendo wa ku draw na kagera bado una matumaini na ubingwa?
 
Kwaio wewe unaumia Morison kula izo mil 24 za Yanga?? Yaani wew ni shabiki wa Simba unaeumizwa na mambo ya Yanga kiasi hiki??
Hivi wewe ni taahira au hayawani??? Ndugu rage apewe heshima yake popote alipo
Nasikia mna connection yenu huko utopolo dah,mmeharibu sana
 
Ukiwaona utopolo wakizungumzia habari za usafiri wa simba utasema wana hata kauwanjanka kufanyia mazoezi
Mbona mnazidi kwenda mbali? Siyo tena Feisal ni uwanja sasa? 😄😄😄😄
Mimi nakazia ile coaster, mtashika namba 5 mwisho wa ligi. Wachezaji wanafika hoi bin taabani. Tutawaazima letu, sharing is caring...
 
Mbona na wewe unaifuatilia sana mambo ya Simba? Usiwapangie watu cha kuandika humu.
 
Haya maisha ukiumia umechagua mwenyewe tu. Ndio hawa jamaa sasa kinachowakuta wako hapa wanajaribu kukifariji tu

Kwa hyo nawewe unaamini mpemba atarudi kinyesini??lazima utakuwa juha sio bure!..sa atarudije akati ashasaini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](kweli wenye akili ni wawili)
 
Hivi ikitokea umemfumania mwenzi wako utamfanyeje? Na huku bado unamhitaji kwa faida ya familia. Ndiyo kilichotokea kati ya Yanga na Fei toto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…