Mantissa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 876
- 166
Acheni kupotosha umma nyie, mtu ameshindwa mwataka kumtetea. Slaa habebeki hata mumbebe vipi. Msidhanie umati mkubwa mliokuwa mwaupata ndio na kura zitakuwa hivyo hivyo, wengi si wapiga kura wale na wala hawakujiandikisha kabisa. Poleni sana na mjipange upya ndugu zanguni.
karibu jf , ila kumbuka humu hakuna wizi kama kule ulikotoka.