PostGE2025 Makame: Kuna watu wanataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?

PostGE2025 Makame: Kuna watu wanataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.

Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii katiba mpya kuanzia rais mpaka chawa wake hawana mpango huo.

 
(a) Ugali, Nyama choma na Mlenda hii ndio iwe utambulisho wa chakula chetu cha kitaifa.

(b) Kachumbali ile ya Nyanya, vitunguu, pilipili na ndimu basi.
Kwa sisi wapenda kula. Tuzingatiwe kwenye Katiba maana hakuna chakula cha kitaifa mule licha ya mtaani wanakiheshimu.
 
Amuulize mama yake aliyekuwa mwenyekiti wa bunge la katiba nini kilikuwa kinatakiwa kibadilike.
 
Huyo ndiyo anaiwakilisha nchi kwenye bunge la Afrika Mashariki au siyo?
Akili hizo atawezaje kujenga hoja na watu wa Kagame, Museveni, na Rutto kutetea au kushawishi kitu fulani kifanywe Tanzania kwanza au Tanzania iwe makao makuu ya jambo au kitu chochote?
 
Wapunguze uwezo wa mamlaka ya rais haiwezekani mihimili yote anaiendesha anavotaka yeye kuanzia mahakama, bunge, hadi NEC!, tena wamwondolee kinga ya kushtakiwa akikosea lazima awajibike mfano mauaji ya mo29.
 
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.

Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii katiba mpya kuanzia rais mpaka chawa wake hawana mpango huo.

Tukiwaambia kuwa maCCM ni wapumbavu mnakasirika. Katiba wala siyo kipaumbele chao.
 
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.
Angeambiwa mbona umesema tayari, tunataka Katiba ibadilike!

Angeambiwa akaongee na Warioba, si watu wanaoona Katiba kama kijitabu tu
 
ILI TUPATE KATIBA LAZIMA WANANCHI TUANDAMANE NCHI NZIMA BILA KIKOMO MAANA HAWA WAHUNI HAWAWEZI KUKUBALI MABADILIKO KWA KUWABEMBELEZA.KINATAKIWA KINUKE MARA KUMI YA KILIVYONUKA TAREHE 29/10/2025
 
Back
Top Bottom