Tukiwaambia kuwa maCCM ni wapumbavu mnakasirika. Katiba wala siyo kipaumbele chao.Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.
Nimekuja kugundua ni ngumu sana kuja kuipata hii katiba mpya kuanzia rais mpaka chawa wake hawana mpango huo.
Angeambiwa mbona umesema tayari, tunataka Katiba ibadilike!Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdallah Makame (CCM), amesema kuwa kuna watu wananataka mabadiliko ya katiba unataka nini kibadilike?.