Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 Makamishina IEBC: Jumla ya kura zilizohakikiwa ni 100.1% ndio tunauliza hiyo ziada sawa na kura 143,000 imetoka wapi?

Kenya 2022 General Election
Ukizijumlisha zinaleta 100.01% kwa hiyo kilichozidi ni 0.01% sawa na kura 1402!! Hata kama hizo akipewa Odinga bado hazimsaidii!!
Unajua tatizo lenu mnachukulia mambo ya kisheria na ushabiki wa u simba na yanga!!nadhani hesabu alizozitoa huyo makamu mwenyekiti wa IEBC, hasa kwa kutumia % zinaweza zikawa sio sahihi, je zikijumlishwa kura walizopata wagombea wote wanne, zinalingana na idadi ya kura zilizopigwa, ukiweka na zilizoharibika?!!kama zinazidi hapo kuna tatizo sehemu.Huwezi ukasema tu eti hata hizo kura 1400, akipewa Odinga hazitaweza msaidia, inshu sio kumsaidia, lakini zitadhibitisha kuwa kuna sehemu hakukuwa sawa, na kupelekea either, kurudiwa kuhesabiwa kura, au uchaguzi kurudiwa upya, kutegemea na ushahidi utakao jitokeza.Japo kwa ushahidi huo wa kuzidi kwa % ni mdogo sana labda kama kuna mwingine.
 
Wameshindwa kuleta hoja za msingi, dada cheupe hapendi maswali, ameulizwa unayakataa matokeo je unayo ya tofauti? hana..ameulizwa mwenyekiti chibukati si ndo mwenye mandate ya kuyatangaza? ndioo..anasema matokeo walitaka wayadiscuss..kudiscuss ili iweje? uyaedit au..
[Rev. 2020]
Independent Electoral and
Boundaries Commission
No. 9 of 2011
21
SECOND SCHEDULE
[Section 8, Act No. 1 of 2017, s. 31, Act No. 34 of 2017, s. 4.]
PROVISIONS AS TO THE CONDUCT OF THE
BUSINESS AND AFFAIRS OF THE COMMISSION
1. The Commission shall meet as often as may be necessary for the carrying out
of its business but it shall meet at least once every calendar month.
2. A meeting of the Commission shall be held on such date and at such time as
the chairperson shall decide.
3. The chairperson shall, on the written application of one-third of the members,
convene a special meeting of the Commission.
4. Unless the majority of the total membership of the Commission otherwise agree,
at least fourteen days’ written notice of every meeting of the Commission shall be
given to every member of the Commission.
5. The quorum for the conduct of business at a meeting of the Commission shall be
at least half of the existing members of the Commission, provided that the quorum
shall not be less than three members.
6. The chairperson shall preside at every meeting of the Commission at which he is
present and in the absence of the chairperson at a meeting, the vice-chairperson,
shall preside and in the absence of both the chairperson and the vice-chairperson,
the members present shall elect one of their number who shall, with respect to
that meeting and the business transacted thereat, have all the powers of the
chairperson.


7. *Unless a unanimous decision is reached, a decision on any matter before the
Commission shall be by a majority of the members present and voting.*


8. Subject to paragraph 5, no proceedings of the Commission shall be invalid by
reason only of a vacancy among the members thereof.
9. (1) The secretary shall be the secretary at all meetings of the Commission.
(2) The Commission shall, subject to subparagraph (3), establish a committee
for liaison with political parties and may establish committees of its members for
any other purpose.
(3) Deleted by Act No. 1 of 2017, s. 31.
10. The Commission shall cause minutes of all proceedings of meetings of the
Commission to be entered in books for that purpose.
11. Except as provided by this Schedule, the Commission may regulate its own
procedure.
12. (1) If any person is present at a meeting of the Commission or any committee at
which any matter is the subject of consideration and in which matter that person or
that directly or indirectly interested in a private capacity, that person shall as soon
as is practicable after the commencement of the meeting, declare such interest
and shall not, unless the Commission or committee otherwise directs, take part in
any consideration or discussion of, or vote on any question touching such matter.
(2) A disclosure of interest made under subsection (1) shall be recorded


we kilaza soma hapo hasa sect 7[emoji3516]

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kama chibukati mwenyewe alimuondolea Ruto kura 10000 zilizkuwa zimeongezwa katika kituo kimoja tu,ni ushahidi pasina shaka kuna kura nyingi sana ameiba.

Pole yake Mzee Odinga amisha andikiwa fungu LA kukosa,miaka yote anaibiwa kura-hamna mgombea aliyewahi kumshinda kwa kura lakini ndio hivyo hana bahati.
Mzee anajifariji ila hakuwa na uwezo wa kumshinda mpinzani wake. 0.01% ambayo wanauliza ni erro of estimation.
Anadanganywa na watu wake aliowaweka Uhuru siku kadhaa kwa kuwateua kuwa makamishina wa tume. Mzee ameangukia pua. Atulie kama ma mvi . Imeisha hiyo
 
Fuatilia kwa makini hotuba ya Juliana, mkuu. Amesema hata physical forms zenyewe zime-forg-iwa, tena kwa mwandiko unaofanana, ndipo zikabandikwa kwenye system.

It means hata wakilinganisha physical forms na digital data, zinafanana tarakimu na kila kitu, lakini zina uwalakini kwamba sizo zilizotoka kwenye vituo vya kupigia kura. Hiyo ni hoja moja tu. Amezungumzia hoja 7 muhimu.
Huyu Juliana ni miongoni mwa wateule wa Rais siku chache kuelekea uchaguzi au? Samahani kwa kuuliza
 
Kulingana na maelezo ya hi Juliana Cherera ni kwamba asilimia zimezidi na kuwa 100.01 kwa maana hyo ongezeko ni 0.01 ya kura zote.
Hii sio hoja. Jibu: hii round off
Labda hoja nyingine
Hoja: Fomu zilikuwa na mwandiko mmoja kuonyesha fojid. Jibu: Onyesha zilizo halali na wakala wa kituo sahihi zao kama ni fojid
 
Round off gani, mkuu? Umeambiwa kuna kura zaidi ya 143,000 hazijulikani nani baba na mama yao, achilia mbali babu na bibi.

Because, ukijulimsha hiyo kwenye kura zote, percentage inakuja 101%. It means hata Kenya walipokuwepo wapiga-kura hewa 1% = 140,000 (appr.)
Aah wapi
50.49 +48.85+0.44+0.23 haiji hiyo 101 badala yake ni 100.01
 
Aah wapi
50.49 +48.85+0.44+0.23 haiji hiyo 101 badala yake ni 100.01
Nakubaliana na wewe, mkuu. Nimeweka 101% kwa sababu wale 4 commissioners walidai kura zisizo na kichwa wala miguu ni 142,000. It means kiasilimia, lazima ingefika 101%!
 
1660714461163.png
 
hivi mnajua mshindi anatakiwa apate 50%+1 maanake nini.
anzia hapo kwanza

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app

50% = 7,106,513 votes

50% +1 = 7,106,514 votes

Raila = 6,942,930 + 1,421 (ambayo ni 0.01%) = 6,944,351 = 48.86%

It means, hata Rail angepewa hizo 1,421 votes (ambazo kimsingi hazipo!!!), haziwezi kubadili chochote.
 
Back
Top Bottom