Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Bado ukichukua hiyo united states ukijumlisha na California "love" wanabaki pale pale nafasi ya 3.Kwa sasa China ndiyo inayoongoza kwa matumizi EV.
View attachment 1735893
Halafu kwenye hii statistics sijui kwanini United State na California Wamezitofautisha
Nadhani USA anaendelea kuhaha.
Halafu wameungana wote EuropeBado ukichukua hiyo united states ukijumlisha na California "love" wanabaki pale pale nafasi ya 3.
Sijui kwanini wamewaengua, europe bkla france, ujerumani sijui europe gani, atleast kwenye europe wakiongeza fr, Germany, Sweden inawafikia wachina hukoHalafu wameungana wote Europe
Halafu German, France, Norway, UK wameziondoa. Lakini bado kipigo kipo palepale.
California ni global powerhouse when it comes to EV technology, manufacturing and consumption.Kwa sasa China ndiyo inayoongoza kwa matumizi EV.
View attachment 1735893
Halafu kwenye hii statistics sijui kwanini United State na California Wamezitofautisha
Nadhani USA anaendelea kuhaha.
Sedan7 sio nio mdau xpeng haoHawa NIO wako vizuri, magari yao yana muonekano bomba zaidi ya XPENG, hiyo sedan 7 iko bomba, labda 2035 naweza nunua.
Naona sikuandika vizuri nilimaanisha katika xpeng hiyo sedan7 ndio iko bomba.Sedan7 sio nio mdau xpeng hao
Lakini bado ni marekani u.s.aCalifornia ni global powerhouse when it comes to EV technology, manufacturing and consumption.
Hapo ndipo ilipo kampuni kubwa zaidi ya EV duniani in terms of market share. Namaanisha Tesla, Inc.
Tembea uone rafiki. Dunia imebadilika.California ni global powerhouse when it comes to EV technology, manufacturing and consumption.
Hapo ndipo ilipo kampuni kubwa zaidi ya EV duniani in terms of market share. Namaanisha Tesla, Inc.
Mchina mbishi sana tutake tusitake...Tembea uone rafiki. Dunia imebadilika.
Hii hapa ndio market share ya January 2021
Kampuni ya kwanza ni ya China. Halafu hesabu kampuni ngapi za USA na Kampuni ngapi za China
View attachment 1736028
Katika makampuni 20 duniani yeye yupo na makampuni 9Mchina mbishi sana tutake tusitake...
Ndio, ni Marekani. Hapo [California] ndipo yalipo makao makuu ya teknolojia duniani.Lakini bado ni marekani u.s.a
Rafiki, hizi takwimu ulizoambatanisha hapa hazijitoshelezi!Tembea uone rafiki. Dunia imebadilika.
Hii hapa ndio market share ya January 2021
Kampuni ya kwanza ni ya China. Halafu hesabu kampuni ngapi za USA na Kampuni ngapi za China
View attachment 1736028