Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
- Thread starter
-
- #21
Fanya utafitiRafiki, hizi takwimu ulizoambatanisha hapa hazijitoshelezi!
Isitoshe, hicho kitu cha kwanza hapo ambacho ni SGMW sio kampuni. SGMW ni muunganiko wa kampuni zaidi ya moja, kwa lugha nyingine tunaita joint venture. Hiki hufanyika sana katika masuala ya kibiashara.
SGMW ni joint venture ambapo ndani yake kuna kampuni za China pamoja na kampuni ya uzalishaji magari ya Kimarekani inayofahamika kama General Motors. Ndio maana ya uwepo wa "GM" katikati ya hiyo abbreviation.
SGMW si kampuni ya China na wala si kampuni kabisa. Katika sekta ya EV kwa sasa, Tesla inasimama kama kampuni binafsi yenye market share kubwa zaidi duniani.
Na unatakiwa ujue masuala ya biashara JV siyo mbaya, maana share holder wakubwa ni wachina.
Halafu SGMW unaposema siyo company ni kitu gani!?
Sijajua unachotaka kusema hapa.
Tesla is not the only company produces EV
Mimi huwa naongea na evidences