Mama Edina JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 850 Reaction score 2,019 Aug 13, 2023 #1 Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Aug 13, 2023 #2 Sime ku stua eti
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Aug 13, 2023 #3 Pole sana aisee 😃😃
moi wa kitaa JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 931 Reaction score 940 Aug 13, 2023 #4 Mama Edina said: Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana Click to expand... Niunganishe mimi
Mama Edina said: Nimepokea sms ya kutakiwa kujiandaa nikakopeshwe is as if Hawa watu wanajua mshahara umeongezeka. Yaani utafikiri nina miadi nao. Jamani nina mikopo mingi Sana slip inakaribia kujaa. Nyie watu hizi sms zenu Sina stua Sana. Haya mambo yaacheni bana Click to expand... Niunganishe mimi