Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote.
Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana, na wakampea mtaalam wetu saint utopolo ma odds mengi mno kuashilia angechakazwa vibaya mno.
Nakweli bwana muda ulipofika wa game uto tuliomba heri game ile ishe firsthalf maana kiama kilikuwa njenje,
Na kuonesha betting hawabahatishi, jana kulikuwa na game ya js kabylie na es tunis, odds alizopewa es tunis ni kiduchu kulinganisha na alizopewa mwenyeji wake js kabylie hivyo tunis kwa ukubwa wake licha ya kuwa ugenini alishinda kweli na kuonesha makampuni ya betting hayatoi faida ya kushinda kwa timu mwenyeji pekee kama uto walivyosema, bali ukubwa na uwezo wa timu kubwa na na bora haufichiki popote.
Nb, mnyama leo kapewa odds kiduchu dhidi ya mbabe wa africa!
SIMBA ni moja tu hapa duniani na ushindi upo njenje leo, tukutane saa 12 jioni tukiwa na furaha za kumwinamisha mwarab0.