Makampuni ya betting hutoa odds ndogo kwa timu kubwa hatakama inacheza away, uto mkuje hapa

Pettymagambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2017
Posts
1,490
Reaction score
8,227
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote.

Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana, na wakampea mtaalam wetu saint utopolo ma odds mengi mno kuashilia angechakazwa vibaya mno.

Nakweli bwana muda ulipofika wa game uto tuliomba heri game ile ishe firsthalf maana kiama kilikuwa njenje,
Na kuonesha betting hawabahatishi, jana kulikuwa na game ya js kabylie na es tunis, odds alizopewa es tunis ni kiduchu kulinganisha na alizopewa mwenyeji wake js kabylie hivyo tunis kwa ukubwa wake licha ya kuwa ugenini alishinda kweli na kuonesha makampuni ya betting hayatoi faida ya kushinda kwa timu mwenyeji pekee kama uto walivyosema, bali ukubwa na uwezo wa timu kubwa na na bora haufichiki popote.

Nb, mnyama leo kapewa odds kiduchu dhidi ya mbabe wa africa!

SIMBA ni moja tu hapa duniani na ushindi upo njenje leo, tukutane saa 12 jioni tukiwa na furaha za kumwinamisha mwarab0.
 
Odds hazichezi mpira, bali bookmaker wanaangalia factor nyingi ikiwepo uwenyeji wako, mara nyingi kwa Africa timu zilizopo nyumbani hupewa nafasi kubwa ya kushinda. Au wanaweza kupishanisha tu kidogo point. Ingekuwa odds zina reflect kitu basi Simba angeshinda vs Raja maana Raja alikuwa na odds chache.
 
Mkiitwa mbumbumbu mna panic haya chambua hapa sasa
IMG_20230422_081134.jpg
 
Nyie vyura mbona mapichapicha mengi vile? Yote ni kutaka kujiaminisha simba mbovu na kipigo alichowapeni juzi hamkustahili?
 
Tuliwaambia uto timu kubwa haijifichi, yaani timu kubwa inajulikana na kuogopeka si ndani ya nchi pekee, bali duniani kote.
Last week makampuni ya betting yalimpa mnyama SIMBA odds kiduchu sana, na wakampea mtaalam wetu saint utopolo ma odds mengi mno kuashilia angechakazwa vibaya mno.

Nakweli bwana muda ulipofika wa game uto tuliomba heri game ile ishe firsthalf maana kiama kilikuwa njenje,
Na kuonesha betting hawabahatishi, jana kulikuwa na game ya js kabylie na es tunis, odds alizopewa es tunis ni kiduchu kulinganisha na alizopewa mwenyeji wake js kabylie hivyo tunis kwa ukubwa wake licha ya kuwa ugenini alishinda kweli na kuonesha makampuni ya betting hayatoi faida ya kushinda kwa timu mwenyeji pekee kama uto walivyosema, bali ukubwa na uwezo wa timu kubwa na na bora haufichiki popote.

Nb, mnyama leo kapewa odds kiduchu dhidi ya mbabe wa africa!

SIMBA ni moja tu hapa duniani na ushindi upo njenje leo, tukutane saa 12 jioni tukiwa na furaha za kumwinamisha mwarab0.

Hao ni sportpesa, toa maoni mzee baba!!!!!!!!

22/04/23 16:00 - Game ID: 1663

SimbavsWydad Casablanca
Yote
Main
Goals
Other Markets
3 WAY

SIMBA
2.82
DRAW
2.82
WYDAD CASABLANCA
2.50
 
Simba leo kuna mtu atakula umeme (red card)
 
Kwa hiyo utopolo ni timu ndogo na mbovu ndo maana ilipewa odd mingi??
 
Kwa nilichosoma hapa nadhani kuna watu wanabeti lakini hawaelewi hasa maana ya concept ya "odds".
 
Odds hazichezi mpira, bali bookmaker wanaangalia factor nyingi ikiwepo uwenyeji wako, mara nyingi kwa Africa timu zilizopo nyumbani hupewa nafasi kubwa ya kushinda. Au wanaweza kupishanisha tu kidogo point. Ingekuwa odds zina reflect kitu basi Simba angeshinda vs Raja maana Raja alikuwa na odds chache.
Duh ndio nini sasa umeandika na like umepewa... Kwa hiyo hujui kama odds ni chance ya kushinda hivyo mwenye odds ndogo ndio mwenye chance kubwa ya kushinda..Kwa hiyo Raja kama alikuwa na odds ndogo maana yake alikuwa na chance kubwa ya kushinda.
 
Kama hapa si ndio?
IMG_20230422_092336.jpg
 
Back
Top Bottom