Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana.
Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu zipo( Polisi, TCRA,BOT, n.k).
Swali ni je, makampuni haya yameiweka serikali mfukoni?
Au hii ni biashara ya vigogo wa hii nchi?
Je, serikali haisikii kilio cha watanzania kuhusu haya makampuni au mpaka Tundu Lissu na wanasiasa wengine wawasemee?
Kama wameshindwa kuyadhibiti, , je, tuko salama kama nchi?
Wabunge wamelia, wananchi wanalia, serikali inasibiri nini kuchukua hatua?
With kwa wapinzani na wanaharakati:
Chunguzeni hili jambo huenda mkaibua kashifa kubwa itayohusisha majina makubwa kama tulivyoona kwenye kashifa za Escrow, Kagoda, Richmond, n.k.