Nawasalimu wote wananchi ambao ndio wenye nchi wanaostahili kupata huduma nzuri na kwa wakati kutoka kwa watu waliokabidhiwa dhamana ya kuwaongoza. Na sio hao waliokabidhiwa ndio wapate huduma bora kwa kuwa wana.
Niende kwenye mada. Nadhani kwa sasa duniani hakuna kitengo muhimu na chenye utata sana kama kitengo cha 'Network'. Hata vitani network ikikosekana ndio basi tena. Dunia ya sasa kila kitu ni network hata ukiwa shambani.
Kwa nchi zetu za Afrika ukienda maofisini kupata huduma suala la kuambiwa network hakuna ni kitu cha kawaida na hata wahudumu hawastuki tena wataendelea kunywa chai na kupata burudani ya mziki kutoka kwenye kompyuta zao.
Makampuni ya simu kwa sasa huduma nyingi zinapitia kwao hasa za malipo na matangazo. Basi ni vema kuhakikisha hiki kitengo cha network kipo vizuri kwa kiwango cha juu. (Extremist point) ili kuepusha sitofahamu na usumbufukwa wateja.
Unaweza ukalipia huduma ukaambiwa utapokea ujumbe baada ya muda mfupi lkn ujumbe unaweza usifike hata baada ya saa 24.Hii kitu haikubaliki isiwe mazoea kwamba ni kawaida.
Kwa kuwa makampuni haya yameunganishwa na taasisi mbalimbali kwa ajili ya malipo ninashauri kama kuna shida ya mitambo na network basi huduma iwe haipatikani kabisa na sio huduma inakuwepo halafu msg zinachelewa kusiwepo na kupishana. Kama mitambo ya msg na huduma haviendi pamoja basi msg inayotakiwa hapo ni ya "huduma haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena baadae. Sijui ni nini kinachosababisha vitu hivi 2 kupishana.
Ila nawapongeza jamani kitengo cha network sio cha kisport sport.
Karibuni.