Makampuni ya mengi yaanza hujuma

Makampuni ya mengi yaanza hujuma

kwanza watueleze ilekampuni ya uwekezaji(NICOL) walioanzisha imefikia wapi mengi ni mtu mjanja ambaye amefanikiwa kwa kutumia propaganda ya vyombo vyake vya habari sasa hivi Azam anaanzisha tv nadhani tutaona mabadiliko makubwa kwenye tv zetu kwani kwa kutumia ushawishi wake alishinikiza wageni wasiruhusiwe kuendesha biashara ya tv kwa 100% ndio maana hata michezo kama kombe la mataifa ,ligi mbali mbali tumeshindwa kuziona bado kusahau kipindi kile alivyokuwa anatuweka usiku kusubiri ngumi za tyson kumbe zimeshapigwa zamani
Ndiye huyo huyo aliyelazimisha chanel ten wamruhusu kuonyesha kombe la dunia akijua kabisa hana haki
Ndiye miongoni mwa waliochangia NBC kuwa katika hali mbaya kutokana na kukaidi kulipa madeni alivyoandikwa kwenye vyombo vya habari akaja juu
kipindi cha Mwinyi aliwahi kulalamika juu ya wahindi kupewa viwanja katikati ya jiji alipopewa chake alikiuza nafikiri badala ya kusema wazawa wapewe angesema serikali iwe na hisa kubwa ili wananchi wote wanufaike

Aisee umeeleza kwa ufupi ila kwa ufasaha. Ifike wakati watu wafahamu kwa undani nia za ndani na rangi halisi za hawa matycoon ambao wanakuwa mstari wa mbele kutetea maslahi yao na ikibidi hata kukandamiza maslahi ya wengi ikiwa tu yataingiliana na maslahi yao.
 
Biashara ni kufight. Mengi ni fughter ndio maana anafanikiwa. Unaweza kununua kihiace ili ufanye biashara lakini later ukabidili vipaumbele na kihiace hicho ukakitumia kwa shughuli zako binafsi, hiyo ni hali ya kawaida kwa mfanyabiashara.
Kama aliomba vitalu hajavitumia, inawezekana vipaumbele vilibadilika, hilo halimzuii yeye kutafuta fursa zaidi kwenye vitalu vya gesi.

Mwacheni fighter afight...

mkuu biashara inayo hushisha ardhi sio kama daladala
ni sheria ardhi sharti iendelezwe
huwez sema umebadili priority
kwanza nashangaa kwann hadi leo serikali haijamnyang'anya hivo vitalu
nna ushahid watu walionyang'anywa ardhi kisa wameshindwa kuendeleza
 
Ndugu wana jf!

Taarifa kutoka wizara ya Nishati na Madini zinasema, Reginald Mengi mwenyekiti wa makampuni ya IPP aliomba, akamilikishwa vitalu 59 vya madini vyenye mita za mraba 3754.37, lakini sasa, cha kushangaza hadi sasa Mengi hajaviendeleza hivyo kuinyima serikali Mapato, na kukalia Ajira kwa vijana wa kitanzani.

Sasa, Baada ya Gas kugunduliwa, Mengi huyo huyo anataka tena vitalu vya gas, sasa, wizara imemgomea katakata kwa sababu vitalu vya Madini 59 alivyopewa hajaviendeleza na hakuna dalili kutoka site kuwa ataviendeleza, hivyo, wizara inakusudia kuweka mambo yote hadharani muda wowote kwa sababu, historia ya Mengi inaonyesha kuwa huwa anapenda kutafuta Huruma kwa watanzania.

Ushauri, Mengi aendeleze kwanza hivyo vitalu 59 ili tuone matokeo yake katika uchumi wa nchi na ajira kwa vijana wengi ambao wapo mtaani hawana ajira, kama hawezi kuviendeleza aiandikie wizara kuitaarifu juu ya kusudio lake la kukabidhi vitalu hivyo.
source: wizarani.


you have missed the whole concept ya vitalu na umiliki.... hata mimi ninavyo vinne.... ntaviendeleza sera zikikaa sawa
 
Kiwanda cha KILIMANJARO TEXTILES MILLS, KIMEGEUZWA KUWA kanisa linaloitwa ZION CITY CHURCH!
 
Nimesoma ulichioandika..thinking outside the box...je suluhisho lako ni nini? What is the solution
? Hii sio vita dhidi ya mengi..mimi nachojali ni mtanzania..wewe unasema serikali inakosa mapato ar u sane?? Serikali imepata mapato gani from barrick na tanzanite one? Watanzania tumepata faida gani? Au kwako ajira za laki mbili ni faida? Dont b pathetic and attack Mengi..makampuni yote hukopa..na silazima kua na hard cash kufanya project..hav u ever heard of joint ventures? Hata kama wazawa hatuna kitu we can atlist do joint venture..hivi on the other hand,unajua investment za bakhresa? So na yeye hawezi sio? Dont b cheap my brother..what has got into ur mind? Aint u fil ashamed u stand againt ur own people? Dont giv us stories that we cant while u aint layin down any strategy that wl benefit the locals...
 
Mkuu wewe naona umetumiwa kwa maslahi ya wageni coz mtaji hutafutwa na hakuna sababu ya msingi wewe kutuaminisha kwamba mengi anaongea kwa niaba ya ipp wakati kila siku tpsf ambayo yeye ni chair wanaongea umuhimu wa sera ya gesi utangulie kabla ya kuanza kugawa vitalu. Kwa mawazo yako unaamini kuna watanzania hawana uwezo wa kuendesha shughuli hiyo umefanya utafiti wa muda gani na umehoji watanzania wangapi? Na huna sababu ya kupotosha umma kuhusiana na mdaharo wa vijana wa chadema coz naona malengo yake binafsi naona ni maslahi zaidi kuliko mawazo ya waziri anayetamani afanye maamuzi yote mazito kabla uongozi wake haujamaliza muda wake octoba 2015.
 
Ndugu wana jf!

..........vyenye mita za mraba 3754.37, lakini sasa..................tanzani.



Wana JF. Wanasema Mengi amemilikishwa vitalu vyenye mita za mraba 3754.37. Kuna usahihi kweli? Kwa sababu mimi ninaishi kwenye kiwanja chenye mita za mraba 1800 hapahapa dar es Salaam. Sasa in maana kiwanja changu hicho nilichojenga banda nikizidisha mara mbili napata vitalu anavyomiki mengi. Kuna usahihi hapo kweli? Tena habari hii imejirudia mara nyingi bila kusahihishwa. Jambo la pili ni kuwa, ingawa mimi sio mtaalamu wa masuala ya vitalu vya mdaini laki ninavyojua ni kuwa ukipewa kitalu cha madini kuna muda maalumu wa kuchimba halafu kinatangazwa upya. Je, hivyo vitalu mengi muda wake haujaisha?
 
Back
Top Bottom