chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction /muamala. Ikishabloku, anayetuma fedha anapewa warning mara tatu kwamba anafanya kosa la kufadhili uhalifu, na anaweza kufikishwa mahakamani
Otherwise hata wafadhili wa ugaidi watakuwa wanachanga kirahisi.
Hivi makampuni yamekosa namna kabisa? Huyu atakuja kudhalilisha mtu mkubwa sana na akaleta taharuki.
Au hiyo Application kwa nini haiwi reported?
######
Deal Done.