katika kila shilingi mia moja unayotumia katika serikali inapata kodi ya karibia shilingi 30. Sasa wakati tariff ikiwa shilingi 5 kwa sekunde, ina maana serikali ilikuwa inapata shilingi 1.5 kwa sekunde. Kwa tariff za sasa za nusu shilingi ina maana serikali nayo inapata kodi ya senti 15 kwa katika sekunde ya maongezi. Sasa kama muda wa watu kutumia simu hautaongezeka elastically kuendana na kupungua kwa bei, unaweza kuona sio makampuni tu yatapoteza, hata mapato ya kodi kwa serikali yatapungua significantly.
hata hivyo kwa sie 'kunguru' vita vya 'panzi' ni neema kwetu!