Makampuni yaliyo na mikataba na Haji Manara yaifute kwa udhalilishaji wa wanawake

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
16,859
Reaction score
28,112
Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana.

Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe.

Natoa rai mikataba yake itenguliwe
 
Ukiyaleta haya maneno hapa uniite
 
Write your reply...Halafu utasomesha wtoto wake na kuhakikisha njia ya kwenda chooni kwakwe haioti majani?
 
Manara ana makampuni anavyofanya nayo kazi, ambayo ni makampuni yanayoheshimika sana.

Sioni kwa nini aendelee kuwa balozi wa makampuni hayo kwa tabia na maneno machafu aliyotamka kwa Mkewe.

Natoa rai mikataba yake itenguliwe
Wewe fuatilia maisha yako uache huo upuuzi wako,unataka akose kazi utampa kazi wewe?mijitu mingine sijui mkoje
 
Back
Top Bottom