Makamu kajitoa,waziri mkuu kajitoa na sasa Balozi kajitoa. Nyie mnaona Nini mbele?

Magufuli 05

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2023
Posts
1,990
Reaction score
3,824
Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu.

Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama.

Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari haipo mbali kwani switch za kupeleka mafuta kwenye engine zimezimwa.

Pole Mama.😭
 
Waziri Mkuu kamaliza muda wake wa uwaziri inapaswa apumzike kulinda legacy yake. Vice president possibly kachoka inabidi apumzike kama alivyosema.
 
Usifikiri hivyo, Mh Mpango ni muda sahihi wa kupumzika hivyo hakuna tatizo, PM kupumzika ni sahihi kwa muda alitumikia cheo hicho, atabaki kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu kimojawapo hapa nchini Tanzania hapo baadaye, Balozi ndiye wa kujadili maana barua yake km ameandika mwenyewe basi inatafakarisha. Wengine sioni tatizo kabisa
 
Tuupe muda nafasi utasema zaidiii.....

Ajaye afute kazi ya uchawa Ili kazi zifanyike Kwa weledi zaidi..
 
mlioko jikoni tuambieni hao wamejitoa kwa sababu zipi?
 
Wzr mkuu alitamka kugombea tena bungeni gafla sikubya mwisho akasema sigombei huoni kuna tatizo
 
Hawa fisiemu niwahuni sana alipoondoka Lowasa na kina Membe pia tulisema mwisho wao lakini bado tunao hawa bila kuvaa sura za wakenya hawana mwisho😂😂😂
 
Yeye yupo Dar na Rajabu Waziri wanakausha Hazina
 
Kuna kaunafiki fulani hapa kwa huyu balozi. Ikumbukwe wakati wa mwenda zake huyu alikuwa mwenezi wa chama ni mmoja aliyebariki itolewe fomu moja tu ktk nafasi anayoisemeya. Hapo mbona hatukumsikia akitoa tamko lolote?!?!?
 
Hatumpendi Samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…