Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Dogo kama una wimbo wa TOT enzi za Kepteni John Komba wa "CCM ni ileile.....!" bu uweke na usikilize kwa makini kisha uje tujadili!Hii record imewahi kutokea lini katika historia ya nchi yetu? Hili si jambo la kawaida hata kidogo. Kama mtampa Moyo kwamba mama usiangalie nyuma songa mbele mnampoteza ndugu yenu.
Huko mbele meli inazama. Narudia meli inazama.
Hii record na trend si nzuri hata kidogo na ni taa kwamba hatari haipo mbali kwani switch za kupeleka mafuta kwenye engine zimezimwa.
Pole Mama.😭