Makamu kajitoa,waziri mkuu kajitoa na sasa Balozi kajitoa. Nyie mnaona Nini mbele?

Dogo kama una wimbo wa TOT enzi za Kepteni John Komba wa "CCM ni ileile.....!" bu uweke na usikilize kwa makini kisha uje tujadili!
 
Tunaona wenye akili wanajitenga na serikali OVU labda atabaki peke yake na mkwe wake tu mchengelwa
 
WAMEJITOA AU WAMETOLEWA
 
Kuna mwarabu kaikamata ikulu kupitia remote control kutoka uziguani ya pwani....kenge mpaka atokwe damu ya masikio ndo ataelewa.mjinga awezi kuelewa...hakuna amani bila haki....nimechanganya madesa....iyo ni weyoro wabwanga kwa wandere.
 
Binadam wa siku hz ni wabishi sana,atang'ang'ana hvyo hvyo mpaka kieleweke
 
Umemsahau na Spika Ndugai au nasema uongo ndugu zanguni🤣🤣🤣🤣
 
Mama kizimkazi anaupiga mwingi MITANO TENA.

Deni himilivu.

KATAA WAHUNI.
 
Alivyopumzika kwa amani
Magufuli
Na timuyake pale ikulu
Uliona niniii???ama tukuwekee picha
Rip
 
Yule jamaa wa Bunda alikosea sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…