Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

Mimi mwenyewe sijaelewa kitu, nilijua jamaa ndo anaanza kumtongoza huyo mwanafunzi baadae tena inaonekana walishakutana mara kwa mara daaaah. But all in all hii ni mbaya sana, kesi za hawa watoto siku zote hua zinaishia kumweka Mwalimu matatani
 
Dude la kutengenezwa hili, figisu zimepigwa hapa
 
umenena
 
Kipindi mdhambi hayupo unataka watoto wafundishwe na nani
 
Shani alisema uongozi wa shule ulipata malalamiko kutoka kwa mwanafunzi Mei 23, 2022, kwa kuandika barua kuelezea usumbufu anaoupata kutoka kwa mwalimu huyo ambaye alimlazimisha awe na uhusiano naye na kufanya naye mapenzi mara kadhaa
Meaning mwanafunzi alishamkaribisha Mwalimu mara kadhaa ndipo akaenda kulalamika
 
Dude la kutengenezwa hili, figisu zimepigwa hapa
  • Wanagombea umakamu wa shule ...what for?
  • Wanagombea ualimu wa nidhamu ...so what!
WAlimu wa siku hizi wa ajabu sana
 
Inasikitisha sana, though Singida kuna pisi kali za kufa mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…