Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
Ukiandikia hivi inatosha kabisa .dokta dokta dokta mbwembe Tu .Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
#KaziNaUtuTunasongaMbele
Nadhani alitaka kuandika Makamu wa Rais. Mambo ya kurithishana vyeo kabla ya muda!Hivi nchimbi ni makamu mwenyekiti kweli?
Kumbe mimi sipo
Makamu Mwenyekiti wa CCM ni huyu hapa unachanganya mafailiDkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
Nchimbi kawa lini makamu mwenyekiti wa CCM? Una akili timamu kweli?Dkt. Balozi Emmanuel Nchimbi ahitimisha kwa kishindo ziara yake mkoani Ruvuma
Ajabu umekuja comment kwenye taarifa inayomhusu!! Nilikuaga nakuchukulia serious sana kumbe pang’ang’a 😂Habari zote Sasa hivi zipo CHADEMA. Huyo nchimbi unamjua wewe tu.
Astaghfirullah, nani tena huyo mbona kama mzimu?Makamu Mwenyekiti wa CCM ni huyu hapa unachanganya mafaili