PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira kuanza ziara ya siku 3 mkoani Shinyanga

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira kuanza ziara ya siku 3 mkoani Shinyanga

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu.

Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.

Ziara hiyo ina lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara.

== ==

IMG-20250326-WA0222.jpg
 

Attachments

  • IMG-20250326-WA0221.jpg
    IMG-20250326-WA0221.jpg
    976.2 KB · Views: 41
  • IMG-20250326-WA0224.jpg
    IMG-20250326-WA0224.jpg
    987.5 KB · Views: 39
  • 6010879-a866e22cde1d5797517302d63e137e9e.jpg
    6010879-a866e22cde1d5797517302d63e137e9e.jpg
    7.3 KB · Views: 43
  • 6010882-4255eaa6fbee7335a948f1d122610705.jpg
    6010882-4255eaa6fbee7335a948f1d122610705.jpg
    10.4 KB · Views: 39
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ya kikazi ya siku tatu.

Wasira amepokelewa mkoani humo leo Machi 26, 2025 akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo baadhi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM.

Ziara hiyo ina lengo la kukagua uhai wa Chama, utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara.

== ==

View attachment 3283866
well done comrade Stephen Wasira,MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa,
kila la kheri baba :KasugaYeah: :KasugaYeah:
 
Back
Top Bottom