PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira na Askofu Bagonza wakutana na kuteta jambo Karagwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.

Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.

IMG-20250324-WA0073.jpg
IMG-20250324-WA0071.jpg
IMG-20250324-WA0074.jpg
IMG-20250324-WA0072.jpg
 
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.

Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.

kazi na utu, tusonge mbele pamoja kama Taifa,
well done Stephen Wasira :KasugaYeah: :KasugaYeah: :ClapHD:
 
askofu bangoza mbona kavaa kitenge au alijua sio wageni
Mkuu hicho ni kichwa, amhofie nani hapo kwa mfano?

Wamemkuta kwake anawapokea jinsi alivyo bila kufake tukio na kujibaraguza kunakofanywaga na wengi linapokuja suala la kukaribisha wageni.
 
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.

Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.

Namuona Waziri(Rtd) Karamagi kavaa kanzu, kawa mchungaji siku hizi?
Mbona watu wanapenda sana ku fake reallity?
 
WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
IMG-20250324-WA0057.jpg

Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.

== ==
 
Gari Ni Engine Siyo Bodi
Atachoka Sana Sana Kuzunguuka Tanzania
 
Back
Top Bottom