Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
kazi na utu, tusonge mbele pamoja kama Taifa,WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.
Mkuu hicho ni kichwa, amhofie nani hapo kwa mfano?askofu bangoza mbona kavaa kitenge au alijua sio wageni
Namuona Waziri(Rtd) Karamagi kavaa kanzu, kawa mchungaji siku hizi?WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera.
Wasira na Dk. Bagonza wamekutana jana wilayani Ngara, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kusikiliza changamoto za wananchi pamoja na kuhutubia mikutano ya hadhara mkoani Kagera.
Ni mitano tena ya kujitajirisha hivyo kuwa karibu na watu au wenzetu ni muhimuNamuona Waziri(Rtd) Karamagi kavaa kanzu, kawa mchungaji siku hizi?
Mbona watu wanapenda sana ku fake reallity?