Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira awasili kwenye msiba wa baba yake Mohamed Mchengerwa

Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)

“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Wassira si ni msabato masalia?
 
Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)

“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Dini ya kufanyia Nini na huo ukweli nani kakuthibitishia? You idiot mind your own business.
 
Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)

“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Hata nyie mnashauriwa kuwekeza kwenye elimu dunia ili kupunguza ujinga kama huu
 
Kifo bwana,wazazi wa wenzie (wastaafu) wanajifia wakisotea mafao kwa uzembe wa DEDs ambao wako chini yake.

Na yeye wa kwake anaondoka kwa namna yake!

Juzi tu RC Chongolo kaongea kitu kikubwa sana namnukuu

"Lipeni madeni ya watu,hivi vyeo havidumu".
 
Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)

“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Imeandikwa, "Yesu ndiye NJIA kweli na uzima, mtu hatofika kwa Baba/Mungu bila yeye" kwa Baba/Mungu ndio mbinguni, sasa JIDANGANYE uitafute njia tofauti n hiyo. Na hiyo imeandikwa kwenye kitabu ambacho waislamu mnalazimika kukiamini but again msemaji wa hiyo statement ni "nabii" mnae muamini yaani Yesu, sasa sijui tuishi na IPI, hiyo ya kwenye Quran ambayo imekuja zaidi ya miaka 600 baadae or tuzingatie kilicho semwa na Yesu?

Anyway, imekuaje siku hizi Waislam wanakaa kwenye viti/makochi badala ya mikeka? Hi picha imenistua kidogo
 
View attachment 3248481
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa.

Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Februari 24, 2025 akiwa katika Ibada ya Umrah, Makkah.

Soma Pia: Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Leo Jumanne, kutafanyika dua ya kisomo jimboni Rufji, Mkoa wa Pwani na Jumatano itafanyika dua nyumbani kwa marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo, jijini Dar es Salaam.

View attachment 3248482
Apumzike kwa amani
 
Huyu Wasira mnamtesa tu.
Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
 
Dua ya kisomo ni ipi hiyo na dua nyingine zinaitwaje? Nataka nipate elimu ambayo labda sina.
 
View attachment 3248481
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa.

Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Februari 24, 2025 akiwa katika Ibada ya Umrah, Makkah.

Soma Pia: Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka

Leo Jumanne, kutafanyika dua ya kisomo jimboni Rufji, Mkoa wa Pwani na Jumatano itafanyika dua nyumbani kwa marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo, jijini Dar es Salaam.

View attachment 3248482
RIP Mchengerwa Senior.
 
Back
Top Bottom