Wassira si ni msabato masalia?Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)
“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Dini ya kufanyia Nini na huo ukweli nani kakuthibitishia? You idiot mind your own business.Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)
“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Hata nyie mnashauriwa kuwekeza kwenye elimu dunia ili kupunguza ujinga kama huuNamshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)
“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Imeandikwa, "Yesu ndiye NJIA kweli na uzima, mtu hatofika kwa Baba/Mungu bila yeye" kwa Baba/Mungu ndio mbinguni, sasa JIDANGANYE uitafute njia tofauti n hiyo. Na hiyo imeandikwa kwenye kitabu ambacho waislamu mnalazimika kukiamini but again msemaji wa hiyo statement ni "nabii" mnae muamini yaani Yesu, sasa sijui tuishi na IPI, hiyo ya kwenye Quran ambayo imekuja zaidi ya miaka 600 baadae or tuzingatie kilicho semwa na Yesu?Namshauri Wasira na wengine wajitahidi waitafute dini ya kweli kabla umauti haujawakuta.
Surah Aal-Imran (3:85)
“Na anayefuata dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa waliopata hasara.”
Apumzike kwa amaniView attachment 3248481
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa.
Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu, Februari 24, 2025 akiwa katika Ibada ya Umrah, Makkah.
Soma Pia: Waziri wa TAMISEMI Mohammedi Mchengerwa Amefiwa na Baba Yake Mzazi Akiwa Ibadani Makka Na Atazikwa hukohuko Makka
Leo Jumanne, kutafanyika dua ya kisomo jimboni Rufji, Mkoa wa Pwani na Jumatano itafanyika dua nyumbani kwa marehemu Alhaj Omary Mchengerwa Yombo, jijini Dar es Salaam.
View attachment 3248482
AminaApumzike kwa amani
Huwezi kusinzia msibaniAmeenda kusinzia kwenye msiba wa watu
Mpe dak 13 kama atakuwa hajasinziaHuwezi kusinzia msibani
Hasinzii hata hivyo Yale ni mapozi yakeMpe dak 13 kama atakuwa hajasinzia
TeteteteteHasinzii hata hivyo Yale ni mapozi yake
Wassira ni mpuuzi.Hivi huu nao ni msiba wa kitaifa?
Usicheze na laanaHii Haina uhusiano na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?
Huyu Wasira mnamtesa tu.
RIP Mchengerwa Senior.View attachment 3248481