PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kazi ya CCM ni kuboresha maisha ya watu

PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wassira: Kazi ya CCM ni kuboresha maisha ya watu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania BaraStephen Wasira, amewahakikishia wananchi wa mji wa Tunduma kuwa Serikali itawatatulia kero ya maji inayowasumbua kwa muda mrefu.

Amesema kuanzia Machi 20, 2025 mawaziri wawili akiwemo Waziri wa fedha, Dk Mwigulu Nchemba na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, watakwenda katika mkoa huo kusaini mradi wa ujenzi wa maji ili waweze kutatua changamoto hiyo.

 
Back
Top Bottom