TANZIA Makamu Mwenyekiti mstaafu NCCR Mageuzi Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan afariki Dunia

Aliwahi kusema Mwl.Nyerere kuwa "Kamwe hatuwezi kutatua changamoto zetu kwa kujiaminisha kuwa hazipo" ila ninavyoona ni kama Jiwe anajaribu kutuaminisha kuwa changamoto zetu hazipo ilihali athari zake zipo dhahiri. Na tukiendelea na dhana Hii yajayo yatakuwa hayafurahishi
 
Kushindwa kupumua[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848].
R.I.P Bibi Rakia
===
Kwani kuna anayeondoka dunia, na hata akiwekwa kwenye nyumba yake ya milele anakuwa bado anapumua!?
Ebu fafanua vizuri unamaanisha nini hapa?
 
Asante sana NCCR Mageuzi kwa kusema ukweli. Tuwaombee wazee wetu Mungu awaepushe na changamoto hizi
 
Kumbe mzigo umefika moro?
 
Apumzike kwa AMANI
 
Tuache kupotoshana na kupeana taharuk..

Kushindwa kupumua ndo nini!?
 
Basi sawa! Ile sherehe leo ya Mahakama itaondoka na wengi pale. Tupinge
Tunavyosema serikali ni kama matukio ya leo kuonesha mfano ni kuwa kila mtu avae barakoa na hakuna kepeana mikono basi inatosha lakini watu wamekaa wanahemiana tu wengine unaona sura za uwoga wanajua Covid yupo ila sasa wanaogopa waije kuumbuliwa vua barakoa, hapa ndo serikali wanakosa, hatutaki lockdown lakini tahadhari ambazo hazina gharama zozote kupunguza.
 
Dah! Ila watu wanadondoka wajameni...
 
Dah! Ila watu wanadondoka wajameni...
Subili hadi Team Captain mwenyewe ajikwae nipo tutaerewana
Umenena vizuli mno; tuwaombee tu
 
Kushindwa kupumua!!
Hatutaki kutumia lugha za propaganda za MAGUFULI&CCM yake!!!
Sama CORONA au COVID-19 ndiyo imechukua uhai wa mwanamama huyu!!!
Hata Mmarekani mweusi Mr. FLOYD alikufa kwa kushindwa kupumua baada ya kuwekewa goti shingoni na Askari Polisi.
 
Subili hadi Team Captain mwenyewe ajikwae nipo tutaerewana
Marehemu Nkurunziza wa Burundi aliiga huu ujinga wa Jiwe akaondoka na Covid-19!!!!
This time around inawezekana kabisa yakatatokea ya Burundi...........mbona ni swala la muda tu!!!!!
 
Rest well Rukia
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…