LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wanaukumbi,

ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM.

Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na rasilimali za wananchi badala ya kuzitumia kwa maendeleo.

Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Msikilizeni hapa:

Wnaukumbi,

ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM.

Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na rasilimali za wananchi badala ya kuzitumia kwa maendeleo.

Msikilizeni hapa:

View attachment 3158896
hakuna namna my friends, ladies and gentlemen.

mtadhibitiwa popote pale nchini, mtakapojaribu kuharibu utaratibu wa kampeni,

na zaidi sana mtakapojaribu kukaidi ilani na maelekezo ya vyombo vya ulinzi, mtadhibitiwa na kuchukuliwa hatua muafaka za kisheria ili kuwapa fursa wenye shughili zao wafanye kwa amani.

Tii ratiba ya Uchaguzi, sheria za usalama na maelekezo mengineyo ya polisi, mtaganya mambo yenu kwa amani.

vinginevyo,
Fujo na vurugu hazikubaliki 🐒
 
Mkuu mbona kama unahisi fujo isiyo kuwepo??! Uoga na hofu ya nini??!

Taja tukio lolote la fujo liloanzishwa na upinzani kwenye kampeni hizi.
 
Back
Top Bottom