Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi.
Rais...
Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma.
Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani.
Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata.
Hayati...
Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi.
Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?!
Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado...
Anonymous
Thread
matumizi mabaya
rasilimalizaumma
shughuli za kisiasa
Wanaukumbi,
ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM.
Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.