DOKEZO Matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika matumizi ya chama

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?!

Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado zina taswira halisi za taasisi hizo za umma.

Screenshot_20250829_091646_Lite.jpg
 
CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?!

Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado zina taswira halisi za taasisi hizo za umma.

View attachment 3457084

Tanzania nchi yangu mioyo ya watoto wako imejeruhiwa, imejaa machozi, huzuni na kiu ya haki, 😢.

Hatuna wa kutujibu wala mfariji, zaidi macho na mioyo yetu tunaelekeza kwake Mungu aliyetuumba sote na kutuweka katika taifa hili nzuri.

Lakini yana mwisho, ni suala la muda tu kufika.
 
Back
Top Bottom