Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwenyekiti wa Wa Balaza la Wanawake Chadema Mbeya, ambaye pia niMakamu Mwenyekiti wa BAWACHA Taifa, Elizabeth Mwakimomo amewataka wanachama na wasio wanachama kufika katika mkutano wa hadhara ambao utazindua kampeni ya 'No reform no Election ' kwa Kanda ya Nyasa ili kuwaeleza wananchi juu ya kuzuia uchaguzi usifanyie mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha amemtahadharisha Mbunge wa Mbeya mjini Dkt.Tulia Ackson kusitisha shughuli yake ya ugawaji wa nguo, ambapo amesema hapo awali Chadema wakiandaa mikutano mikubwa jijini Mbeya Dkt.Tulia amekuwa akiandaa mikutano yake ili kuwavuruga Chadema, na kumuomba aache tabia hiyo mara moja kwani atadhalilika