Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hakuna kulaza damu MkuuSubiri kukuche mkuu unawahi wapi
Tatizo ni wapiga kura ..Tanzania ni nchi ya ajabu sana. Yaani kiongozi wa kisiasa anatumia nafasi na ushawishi wake kusajili na kupromote kazi za NGO yake inayotoa huduma za kijamii kwa wenye mahitaji maalumu...
Alafu wengine wengi tu hawaoni mgongano wa wazi wa maslahi!
Hakika! Njaa, umaskini na ujinga vikikutana kwenye group ni tatizo!Tatizo ni wapiga kura ..