Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati, Devota Minja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo

Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai

Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema

Screenshot_2025-01-26-16-11-16-1.png
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo

Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai

Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema

Mwanamke wa Shoka aliyekataa kuuza imani ya watu wake kwa vipande vya pesa
 
Hivi huyu Dada aliachaga kazi ya uripota ITV ama nimemfananisha?

Watie nguvu hapo, hiyo kanda ya Kati ni kama wamekunywa Maji ya bendera ya CCM

Yaani pamoja na Umasikini walionao lakini wao na CCM, CCM na wao 🙌
Ni Yeye
 
Lema Aisee??Wenzake Wako Bize Na Kutoa Tabasamu Na Pozi Kwa Mpiga Picha ili Wapigwe Picha,,Yeye Yuko Bize Na Kuwaangalia Wapigwa Picha Wenzake Kwa Pozi na Tabasamu la Kikuda Fulani Hivii...!!
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo

Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai

Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema

Unaandika kwa maumivu makali sana!
 
Back
Top Bottom