Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati, Devota Minja

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Kati, Devota Minja

Kasi Ya Safu Ya CDM Inabidi Chama Dollar Wapeleke Depo Askari Wengi Sana
 
Hivi huyu Dada aliachaga kazi ya uripota ITV ama nimemfananisha?

Watie nguvu hapo, hiyo kanda ya Kati ni kama wamekunywa Maji ya bendera ya CCM

Yaani pamoja na Umasikini walionao lakini wao na CCM, CCM na wao 🙌
Afadhali hata kondoa,hapa kwa mihanyenye ccm ndio kila ki kwao!
 
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo

Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai

Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema

No reform no election inakuwaje mnaongelea uchaguzi ? Panga mbinu za kuzuwia uchaguzi mpaka mabadiliko.
 
Back
Top Bottom