Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Matusi na Uchawi havitakuondolea umasikini unaokuandamaJoyce Mukya umekosa ulaji baada ya Dj kupigwa chini
Mwanamke wa Shoka aliyekataa kuuza imani ya watu wake kwa vipande vya pesaHii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo
Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai
Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema
Mbowe Gaidi tulia.Matusi na Uchawi havitakuondolea umasikini unaokuandama
Habari za hapo GeitaMbowe Gaidi tulia.
Ni YeyeHivi huyu Dada aliachaga kazi ya uripota ITV ama nimemfananisha?
Watie nguvu hapo, hiyo kanda ya Kati ni kama wamekunywa Maji ya bendera ya CCM
Yaani pamoja na Umasikini walionao lakini wao na CCM, CCM na wao 🙌
Nina miaka mingi sijamuonaNi Yeye
gaidi ambae yuko uraiani? Vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya nn?Mbowe Gaidi tulia.
Unaandika kwa maumivu makali sana!Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa mitandaoni kote siku ya leo
Taarifa zingine zinaeleza kwamba, Viongozi hao Wamepanga Mikakati ya namna ya kuing'oa ccm kwenye Kanda hiyo, na tayari kazi imeanza, ambapo wamekubaliana kuanzia Jimbo la Job Ndugai
Hawa hapa wakiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu Godbless Lema
Salama za hapo Machame mkuuHabari za hapo Geita
Hujui jambo Muhimu sana!Unaandika kwa maumivu makali sana!
MUda utaongea!Hujui jambo Muhimu sana!
Uchaguzi si usha isha wewe Sh.o.g.a?Joyce Mukya umekosa ulaji baada ya Dj kupigwa chini