Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kesho Mei 2 ataongea na Watanzania Makao Makuu ya chama saa sita kamili mchana! Kaa tayari kusikia atachokisema

photo_2026-05-01_22-16-04.jpg
 
Asisahau kuiumbua mahakama.
Asisahau hilo ni muhimu sana.
Asisahau kurusha jiwe huko ni muhimu sana kwa nyakati tulizonazo, nyakati ambayo mahakama inatumika kama maji ya chooni.
 
Mmeshapata Kibali? Kama bado hiyo press ni batili na tutaangalia media itakayo show up
 
Nasisitiza tena Kamanda Wa Polisi Kanda Maalumu SACP Jumanne Muliro na Faustine Mafwele watadhibiti vilivyo hili liko ndani ya uwezo wao hatutaki vurugu nchini​
Muliro kishaambiwa akishastaafu akimbie nchi
 
Dunia nzima macho na masikio
Hata ujitahidi kiasi gani; huwezi kushindana na kichaa Lucas Mshamba kutumia lugha ya namna hiyo.

Kwa hiyo mwachie kazi hiyo anayeijuwa vyema, Lucas Mshamba.
 
Mmeshapata Kibali? Kama bado hiyo press ni batili na tutaangalia media itakayo show up
Hivi vichaa mbona wamekuwa wengi siku hizi humu JF?

Inashawishi kusema kuwa hizi ni dalili za mwanzo mpya kwa Tanzania

Haya mashetani yote yaliyoshangilia kuuliwa waTanzania, na baadhi yao wakiwa ni washiriki katika mauaji hayo, sasa damu hiyo inawachemsha bongo na kujikuta yanaropoka hovyo hovyo kama hili hapa.
 
Back
Top Bottom