johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Firisika- filisika.Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.
Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.
Maendeleo hayana vyama!
Yani wewe ni kilaza kama mwenyekiti wako wa chama. Hujui kitu unajiandikia threads kama unatumia dozi ya kuharaNimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.
Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema tayari umetueleza vizuri huo mpangilio wao, haya sasa tujuze Nccr, Cuf, Tlp na Act tuone nao walivoitenga Zanzibar katika mfumo wao wa uongozi kichama.Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.
Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu johnthebaptist huwa unatia huruma na aibu sana kwa mada zako kama hizi. Hivi kumbe Mzee Mangula ni Mzanzibari? Kwani CCM Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti na Katibu Mkuu hawatoki Tanzania Bara?
Hata hao CHADEMA wana Makamu wa Mwenyekiti wa Zanzibar kama walivyo CCM. Na Makamu wao Mwenyekiti ni kama wa CCM kimadaraka. Tatizo lako unapenda kuanzisha mada hata kwa mambo ya roporopo.
Unageuza Jukwaa la Siasa kuwa Jukwaa la Chit-Chat. Kwanini unateseka sana na CHADEMA? Hebu waachie chama chao basi na ubaki na CCM yako.Bure kabisa wewe binti!

Ametumia neno binti Kwa sababu Johnthebapatst analeta mada kama mwanamke(mada zisizo na mwelekeo)..means sio tusi kwake ...Kumbe John the Baptist ni binti, nilikuwa sijui.
Na wewe uanaweza ukajiita mchambuzi wa masuala ya kisiasa,unataja vyama zaidi ya vitano,unazungumzia muundo wa kimoja na kujifanya umesoma katiba za vyote,wewe na nguruwe pori munatofauti gani!.
Nimejaribu kupitia katiba za Cuf, Nccr, Chadema, TLP na ACT wazalendo nikitaka kuona madaraka aliyonayo Makamu Mwenyekiti wa chama, kiukweli hana majukumu yoyote.
Ni kama vile nafasi hii iliwekwa ili kuimarisha muungano japokuwa vyama karibia vyote vya upinzani havilizingatii hilo.
Chadema kwa mfano, Mwenyekiti anatoka bara, makamu wake anatoka bara na Katibu mkuu anatoka bara, uongozi wa wazanzibari unaanzia kwenye nafasi ya Naibu katibu mkuu japokuwa aliyepo sasa anatoka bara pia wilayani Kinondoni.
Hivyo unaposikia mwanasiasa yoyote nguli wa Upinzani anagombea nafasi ya makamu Mwenyekiti ujue mtu huyo ameshafirisika kisiasa.
Maendeleo hayana vyama!
Acha kupotosha umma kwao Mangula ni Njombe zamani...KATIBU wa CCM ni bara ..naibu Katibu Mkuu ni Rodric Mpogolo ni bara ....wewe unaowazungumzia ni wapi....?CCM
MWENYEKITI (MAGUFULI)-Bara
MAKAMU(MANGULA)-Pemba
KATIBU(LYAKURWA)-Unguja.
Kwa uwiano huu Muungano umeimarishwa.
Alooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe unawajua akili zao eeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu mnajua kuchokoza wenzenu lakini dah [emoji1787]
wanakuja kukuvaa jiandae