Makamu mwenyekiti wa chama cha upinzani hana madaraka wala majukumu yoyote kama aliyonayo yule wa CCM

Acha kumzarau Mzee Mangura...Punguza pombe zinakupelekesha mno...
 
Ametumia neno binti Kwa sababu Johnthebapatst analeta mada kama mwanamke(mada zisizo na mwelekeo)..means sio tusi kwake ...
Aisee ninaomba ututake radhi wanawake wote wa humu jukwaanai. Sio adabu hata kidigo kutufananisha na vitu vya ajabu. Lini sisi wanawale tukaleta hoja dhaifu humu jamvini?
 
Aisee ninaomba ututake radhi wanawake wote wa humu jukwaanai. Sio adabu hata kidigo kutufananisha na vitu vya ajabu. Lini sisi wanawale tukaleta hoja dhaifu humu jamvini?
Hapana aiseee ...nimeongelea walio nje ya jukwaa hili....wanawake waliomo humu wapo very smart ...Mada za Johnthebapatst zilitakiwa ziende jukwaa la Gossip
 
Jukumu kubwa la MAKAMU Mwenyekiti kama alivyo MAKAMU WA RAIS ni kukata utepe...
M/Mwenyekiti yeye anakata utepe wa uzinduzi wa matawi na mashina ya chama
 
Acha kupotosha umma kwao Mangula ni Njombe zamani...KATIBU wa CCM ni bara ..naibu Katibu Mkuu ni Rodric Mpogolo ni bara ....wewe unaowazungumzia ni wapi....?
Tumeambiwa CCM ina muunganiko mzuri wa uongozi nikadhani Mangula na Lyakurwa ni wapemba??
 
Hapana aiseee ...nimeongelea walio nje ya jukwaa hili....wanawake waliomo humu wapo very smart ...Mada za Johnthebapatst zilitakiwa ziende jukwaa la Gossip
Wapo walioko nje na ni smart zaid. Mwanamke hata yule alokosa elimu ni smart sana. Ukitaka kuamini angalia watt wanaozaliwa na akili zao. Utagundua watt wana akili sana. Na hizi wanarithi toka kwa mama. Mfani ww mama yako yupo humu jamvini? Mm wa kwangu hayupo and she is one of the smartest women ever
 
Kuna msemo mmoja kiingeeereza nisiutumie Leo lkn kila mzaz wa kike ni intelligent . mtoto mpumbavu n mzgo kwa mamaye...Sasa hakuna mama anaetaka abebe mzgo wa mtoto mpumbav(sababu mama nae ataitwa mpumbavu....na hakuna mtoto anaekubali mama yake aitwe mpumbavu .nawaheshimu akina mama wote wanaoishi humu duniani ....Lkn tukiri kuwa kuwa wanawake wapumbavu .
 
Mbona mnateseka sana na Masuala ya Upinzani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…